Türkiye
Gari la kwanza la kijeshi la kiwango kizito la Uturuki la kujiendesa la Alpar kuonyeshwa
Mtengenezaji mkuu wa magari ya kijeshi wa Uturuki Otokar ataonyesha bidhaa mbalimbali katika Eurosatory, maonyesho makubwa zaidi barani Ulaya na mojawapo ya maonyesho yanayoongoza duniani ya sekta ya ulinzi.
Maarufu
Makala maarufu