Afrika
Sultan Mehmed II alivyoikomboa Istanbul miaka 571 iliyopita
Mei 29, 1453, jiji la Istanbul lilianguka kutoka dola ya Byzantine na kutwaliwa na dola ya Ottoman iliyokuwa ikiongozwa na Sultan Mehmed au Fatih Mehmet yaani ‘mfunguzi’ kwa kiarabu, na kuifanya dola hiyo kuwa yenye nguvu zaidi duniani.
Maarufu
Makala maarufu