Afrika
Emily Banyo: Mwanamke wa Uganda alietengeneza michezo ya chemsha bongo kwa ajili ya afya ya akili
Ubongo wa binadamu ni chombo changamani cha kutatua matatizo - wakati ukiwa umekwama au haujakwama na hali ya maisha ya siku zilizopo, zilizopita na za nyuma huku ukiwa unashughulika na kushughulikia mihangaiko ya siku zijazo.
Maarufu
Makala maarufu