Afrika
Uganda ilijiunga na BRICS kujikinga na vikwazo
Okello Oryem, Waziri wa Nchi Uganda alielezea kuwa Uganda ililazimika kujiunga na Muungano wa BRICS kutokana na mabadiliko ya mpangilio wa dunia ambapo Marekani na Umoja wa Ulaya zimekuwa zikiweka vikwazo kwa mataifa huku zikikiuka masuala hayo hayo.
Maarufu
Makala maarufu