Uchambuzi
Natalie Githu: Dada huyo wa Afrika Kusini aliyekabiliwa na dhana potofu kwa sababu ya nywele ambayo alikuwa akivaa na kusuka
Akiwa mwanamitindo wa mtoto mweusi aliyeangaziwa kwenye kifungashio cha chapa maarufu ya kunyoosha nywele inayouzwa sehemu nyingi duniani, Natalie Githu amekuwa katika pande zote mbili za mgawanyiko wa nywele.
Maarufu
Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza
Huku kukiwa na operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kung'oa makundi ya waasi, kijana mmoja anatoa suluhu la kipekee ili kupunguza msongo wa mawazo na kukabiliana na uhalifu mijini
Makala maarufu