Türkiye
Operesheni ya Uturuki ya kupambana na ugaidi 'Claw-Lock' yawakata makali magaidi 605
Majeshi ya Kituruki yanapata mafanikio makubwa katika operesheni mbalimbali za kupambana na ugaidi zinazoendelea, kwa kuwadhoofisha magaidi wa PKK, kuharibu maficho mengi, na kukamata shehena ya silaha na risasi
Maarufu
Makala maarufu