- Ukurasa wa nyumbani
- Maoni
Chuo Kikuu Cha Recep Tayyip Erdogan
Matokeo ya 1 yanayohusiana na Chuo Kikuu Cha Recep Tayyip Erdogan yanaonyeshwa
Maisha
Mwanafunzi wa Ghana, ageuka staa mtandaoni kwa uchezaji densi ya kitamaduni ya 'horon' ya Uturuki
Mwanafunzi huyo Yahaya Abdulai, wa udaktari katika chuo kikuu cha Recep Tayyip Erdogan, amekuwa akieneza utamaduni wa Bahari Nyeusi. Video za Abdulai akicheza horon zimesifiwa sana, na kutazamwa zaidi ya milioni 1 kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii
Maarufu
Makala maarufu