Türkiye
Israel 'inaficha mauaji yao' kwa kumchafua Erdogan
"Wauaji wa watoto wanachukia mpango wa kusitisha mapigano na amani," Msemaji wa Chama cha AK Omer Celik anasisitiza kufuatia ujumbe wa mwanadiplomasia mkuu wa Israel akisema Erdogan "anapaswa kujisikia aibu kwa kumkaribisha Mkuu wa Hamas Haniya.Türkiye
Ukimya wa kile kinachoendelea Gaza ni uhalifu dhidi ya ubinadamu: msaidizi wa Erdogan
Omer Celik alizikosoa nchi zinazotanguliza "haki ya Israel ya kujilinda" huku zikipuuza "haki ya kuishi" ya wanawake na watoto huko Gaza, akitaka hatua za haraka zichukuliwe kusitisha mashambulizi ya mabomu unaoendelea.
Maarufu
Makala maarufu