Afrika
Zanzibar: Watalii kutoka Israel wakerwa na ujumbe wa kuiunga mkono Palestina
Wageni wanne kutoka Israel wamelazimika kuihama hoteli ya Canary Nungwi iliyoko visiwani Zanzibar, Tanzania baada ya kutofurahishwa na ujumbe wa kuiunga mkono Palestina uliowekwa kwenye moja ya magari yaliyopaki hotelini hapo.
Maarufu
Makala maarufu