Afrika
Kwa nini Afrika inakerwa na Marekani kuhusu viti vya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa
Kuna mgogoro unaoibuka kuhusu mamlaka ya juu ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa 'Big Five' na kususia kuipa Afrika uanachama wa kudumu na kura ya turufu licha ya masuala ya bara hilo kuchangia asilimia 60-70 ya masuala kwenye ajenda.
Maarufu
Makala maarufu