Ulimwengu
Lupita Nyong'o aweka historia, kwa kuwaongoza waamuzi tamasha la kila mwaka la filamu 'Berlinale'
Mwigizaji wa Kenya na mshindi wa tuzo ya Oscar Lupita Nyong'o ("Black Panther, "12 years a Slave") amekuwa mkuu wa waamuzi wa kwanza mwenye asili ya kiafrika kwenye tamasha la kila mwaka la filamu la Berlinale
Maarufu
Makala maarufu