Afrika
Sudan: UN inahimiza kupelekwa zaidi kwa misaada ya kibinadamu
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Amina Mohammed, alitoa wito wa msaada zaidi kupelekwa Sudan wakati wa ziara yake kwenye kivuko cha mpaka cha Adre nchini Chad, akisisitiza kwamba juhudi zinazoendelea hazitoshi kupunguza mateso.
Maarufu
Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza
Huku kukiwa na operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kung'oa makundi ya waasi, kijana mmoja anatoa suluhu la kipekee ili kupunguza msongo wa mawazo na kukabiliana na uhalifu mijini
Makala maarufu