Michezo
Mashindano ya riadha Duniani: Amane Shankule wa Ethiopia ashinda marathon kwa wanawake
Amane Beriso Shankule mwenye sifa bora za mbio za masafa marefu, amempiku mwenzake Gotytom Gebreslase aliyeshinda huko Oregon kwa kasi zaidi kuwahi kushuhudiwa, huku Fatima Ezzahra Gardadi wa Morocco akimaliza wa tatu
Maarufu
Makala maarufu