Türkiye
Rais Erdogan azungumza na kiongozi wa UAE - AL Nahyan
Wakizungumza kwa njia ya simu, wawili hao walijadili matukio ya hivi karibuni katika mchakato wa mzozo kati ya Israeli na Palestina, huku Rais Erdogan akisema kuwa usitishwaji wa mzozo unawezekana iwapo hatua bora za kimataifa zitachukuliwa
Maarufu
Makala maarufu