Türkiye
Ukimya wa kile kinachoendelea Gaza ni uhalifu dhidi ya ubinadamu: msaidizi wa Erdogan
Omer Celik alizikosoa nchi zinazotanguliza "haki ya Israel ya kujilinda" huku zikipuuza "haki ya kuishi" ya wanawake na watoto huko Gaza, akitaka hatua za haraka zichukuliwe kusitisha mashambulizi ya mabomu unaoendelea.Türkiye
Erdogan alifanya vyema katika maeneo yaliyokumbwa na tetemeko, akiwanyamazisha wakosoaji wake
Ushindi wa Rais Erdogan na Chama cha AK katika maeneo yaliyokumbwa na maafa ni ushahidi wa umaarufu wa Erdogan na unaonyesha kuwa watu wengi walionusurika na tetemeko la ardhi la Uturuki wanaamini uongozi wake zaidi ya ahadi za upinzani.Türkiye
Ufafanuzi: Miaka 100 ya historia ya uchaguzi wa Uturuki
Tangu kuundwa kwake mnamo 1923 kama jamhuri chini ya uongozi wa Mustafa Kemal Ataturk, Uturuki imebadilika polepole lakini kwa hakika hadi kuwa serikali yenye nguvu ya demokrasia ya vyama vingi. Hapa kuna ufafanuzi juu ya uchaguzi wake.
Maarufu
Makala maarufu