Ulimwengu
Mashabiki 5 wa timu ya Israel wahukumiwa Amsterdam kwa vurugu ya soka
Watuhumiwa ni miongoni mwa kundi lililozua vurugu kabla na baada ya mechi ya Maccabi dhidi ya Ajax mnamo Novemba 7, ambapo mashabiki wa timu ya Israeli walipigana na watu walio karibu, kuharibu mali na kuchoma bendera ya Palestina.
Maarufu
Makala maarufu