Afrika
Tembo, Simba, Chui, Tai,... kwa nini timu za Afrika zimesheheni majina ya wanyama?
Kuanzia Simba wa Atlas hadi Tembo wa Côte d'Ivoire kupitia Tai wa Mali au Farasi wa Burkina Faso, majina ya wanyama ni mengi Afrika. Kwa nini sehemu kubwa ya Timu za Taifa Afrika wamejipa au 'kujibatiza' nembo na majina ya wanyama?
Maarufu
Makala maarufu