Afrika
Achille Mbembe: “Ushirikiano kati ya Mataifa sharti urejeshwe kwenye ajenda”
Profesa Achille Mbembe, ambaye ni msomi wa Historia na Sayansi ya Siasa katika Chuo Kikuu cha Witwatersrand kilichoko Johannesburg nchini Afrika Kusini, alitwikwa jukumu na Rais Emmanuel Macron kuhuisha mazungumzo katia ya Afrika na Ufaransa.
Maarufu
Makala maarufu