Ulimwengu
Marekani yatumia kura ya turufu kupinga azimio la UN la kutaka kusitishwa kwa vita vya Israel dhidi ya Gaza
Wajumbe 13 wa Baraza la Usalama walipiga kura kuunga mkono rasimu hiyo fupi ya azimio lililotolewa na Umoja wa Falme za Kiarabu. Uingereza ilijizuia na Marekani ikaipiga kura ya turufu.
Maarufu
Makala maarufu