Afrika
Shabiki mmoja afariki, majeruhi 30, Tanzania wakati wa fainali ya CAF
Mashabiki kadhaa waliachwa wakipigania maisha yao wakati wa mkondo wa kwanza wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF) kati ya timu ya Yanga FC Kutoka Tanzania na USM Algiers toka Algeria, huku shabiki mmoja aliaga dunia.
Maarufu
Makala maarufu