Ulimwengu
Marekani yapinga ombi la Palestina la kutaka uanachama kamili wa Umoja wa Mataifa
Marekani ilikataa ombi la Wapalestina lililopiganiwa kwa muda la kutaka uanachama kamili wa Umoja wa Mataifa, na kupinga hatua ya Baraza la Usalama licha ya kuongezeka kwa masikitiko ya kimataifa juu ya hali mbaya ya kibinadamu huko Gaza
Maarufu
Makala maarufu