Maisha
Mwimbaji Drake anunua pete ya zamani ya Tupac kwa Dola milioni Moja
Drake alitangaza ununuzi wa pete hilo lililouzwa Sotheby kwa jumla ya $1.016 milioni kwa kusambaza kwenye stori ya Instagram. Tupac alionekana na pete hiyo hadharani mara ya mwisho kwenye Tuzo za Muziki za Video za MTV mnamo Septemba 4, 1996.
Maarufu
Makala maarufu