Türkiye
Idara ya kijasusi ya Uturuki yamkata makali mtu anayejiita afisa wa kundi la kigaidi la PKK
Shirika la Kitaifa la Ujasusi la Uturuki (MİT) limemkata makali Abdulhamit KAPAR, aliyefahamika kwa jina la Tekin Guyi, anayejiita Afisa Mkuu wa Taasisi za PKK, wakati wa operesheni iliyoendeshwa huko Qamishli, Syria.
Maarufu
Makala maarufu