Afrika
Kampuni ya ulinzi ya Uturuki yapata kandarasi ya mamilioni ya dola kulinda mipaka ya nchi moja Afrika.
Kampuni ya Asisguard, yenye makao yake katika mji mkuu wa Uturuki Ankara, imetia saini mkataba wa dola milioni 36.5, ikijumuisha ndege zisizo na rubani, uchunguzi na mifumo ya kamera za utambuzi/ugunduzi.
Maarufu
Makala maarufu