Türkiye
Uchunguzi unaendelea kufuatia shambulizi katika Kanisa la Santa Maria mjini Istanbul
Kufuatia shambulio la silaha katika wilaya ya Sariyer mjini Istanbul na kuua mtu mmoja, rais Erdogan wa Uturuki anasema kuwa hatua zote muhimu zilikuwa zikichukuliwa ili kuwatia nguvuni wahusika wa shambulizi hilo.
Maarufu
Makala maarufu