Ulimwengu
Yanayojiri: Wanajeshi wa Israel wavuka vizuizi vya Gaza - Netanyahu
Vita vya Israel dhidi ya Gaza vinaingia siku ya 27 huku Tel Aviv ikishambulia ardhi ya Palestina bila kuchoka kutoka nchi kavu, angani na baharini na kuua watu 9,060 hadi sasa, theluthi mbili yao wakiwa wanawake na watoto.
Maarufu
Makala maarufu