Türkiye
Marais wa Uturuki na Azerbaijan wakutana mjini Nakhchivan kwa mazungumzo
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amewasili Azerbaijan kufanya mazungumzo na mwenzake Ilham Aliyev kujadili mahusiano baina ya nchi hizo mbili, pamoja na masuala ya kikanda na kimataifa, hususan maendeleo ya hivi karibuni huko Karabakh.
Maarufu
Makala maarufu