Maoni
Umoja wa Mataifa lazima ufanyiwe mageuzi kwa ajili ya haki kwa Afrika na kutekeleza wajibu wake
Umoja wa Mataifa, UN, uliundwa mwaka 1945 wakati nchi nyingi za Afrika zikiwa bado chini ya ukoloni. Hata hivyo, vyombo vingi vya Umoja wa Mataifa havijafanyiwa mageuzi ili kukidhi hali halisi ya mabadiliko ya dunia
Maarufu
Makala maarufu