Maisha
Jinsi msanii wa Sudan anavyojisitiri na kutengeneza maisha katika eneo ambalo limekumbwa na migogoro
Hadi kutoroka kwake kwa ujasiri, Bakri Moaz alijilinda kila siku kutokana na hali tete iliyomzunguka kwenye kijitabu chake kidogo ambacho kilionyeshwa katika maonyesho ya kimataifa ya sanaa kama 'Michoro ya Vita'.
Maarufu
Makala maarufu