Afrika
Mkataba wa kudhibiti magonjwa: Je Afrika itapata sehemu yake ya haki?
Kucheleweshwa kwa kukamilisha makubaliano ya kimataifa ya kushughulikia milipuko ya magonjwa ya siku zijazo, huenda ukachelewa kwa mwaka mwingine, huku nchi zinazoendelea zikipigania mgawanyo wa haki wa rasilimali, pindi janga la afya litakapokea.
Maarufu
Makala maarufu