Ulimwengu
Meli yashambuliwa katika Bahari Nyekundu huku Gaza ikiendelea na uvamizi wa Israel
Vita vya sasa vya Israel dhidi ya Gaza iliyozingirwa - sasa katika siku yake ya 67 - vimesababisha Wapalestina wasiopungua 18,205 kuuawa na kujeruhi wengine zaidi ya 49,645 huku maelfu wakihofiwa kuuawa chini ya vifusi vya majengo yaliyolipuliwa.
Maarufu
Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza
Huku kukiwa na operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kung'oa makundi ya waasi, kijana mmoja anatoa suluhu la kipekee ili kupunguza msongo wa mawazo na kukabiliana na uhalifu mijini
Makala maarufu