- Ukurasa wa nyumbani
- Maoni
Mashambulio Ya Israel
Matokeo ya 12 yanayohusiana na Mashambulio Ya Israel yanaonyeshwa
Türkiye
Israel italipa gharama ya dhulma inayofanya huko Gaza - Erdogan
"Haijalishi nini kitatokea, sisi (Uturuki) tutaendelea kusimama kidete kukabiliana na mashambulizi ya kikatili ya Israel dhidi ya Gaza, na Israel hakika italipa ukatili huu," mkurugenzi wa mawasiliano wa Uturuki anamnukuu Rais Erdogan akisema.Türkiye
Uturuki imekanusha madai ya uwongo ya kombora lake kutumiwa na jeshi la Israel huko Gaza
Kituo cha Uturuki cha Kupambana na Taarifa potofu kinakanusha madai kuwa makombora yaliyotengenezwa na Uturuki yanayotumiwa na jeshi la Israel huko Gaza, kikisisitiza hakuna biashara ya silaha kati ya Uturuki na Israel.Ulimwengu
Hatua yoyote ya chuki dhidi ya Yemen itakuwa na matokeo - waonya Wahouthi
Vita vya sasa vya Israel dhidi ya Gaza - ambayo sasa iko katika siku yake ya 71 - vimesababisha Wapalestina wasiopungua 18,800 kuuawa na kujeruhi wengine zaidi ya 51,000, huku maelfu wakihofiwa kuuawa chini ya vifusi vya majengo yaliyolipuliwa.Türkiye
Uturuki imekanusha madai ya shambulio la Israel katika hospitali ya Red Crescent ya Uturuki
Shirika la 'Red Crescent' la Uturuki lilisaidia katika kujenga maghala ya 'Red Crescent' ya Wapalestina na haliendeshi shughuli moja kwa moja huko Gaza, Kituo cha Uturuki cha Kupambana na Taarifa potofu kinasema.
Maarufu
Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza
Huku kukiwa na operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kung'oa makundi ya waasi, kijana mmoja anatoa suluhu la kipekee ili kupunguza msongo wa mawazo na kukabiliana na uhalifu mijini
Makala maarufu