Afrika
Karim la joie: Nyota mchekeshaji wa Burkina Faso aeneza shangwe na vicheko Afrika
Karim la joie ni nyota anayeinukia katika ulingo wa vichekesho, na tamthilia yake yenye unwani C'est qui lui? (Huyu ni nani?) Video zake zimetazamwa na mamilioni ya watu, haswa katika bara la Afrika linalozungumza Kifaransa.
Maarufu
Makala maarufu