Ulimwengu
Jamii ya Druze yakataa jaribio la Netanyahu kujifaidi na janga la Golan Heights
Jamii ya Druze inayoomboleza kifo cha watoto 12 katika Milima ya Golan inayokaliwa na Israel inakataa jaribio la Netanyahu "kutumia jina la Majdal Shams kama jukwaa la kisiasa kwa gharama ya damu ya watoto wetu".
Maarufu
Makala maarufu