Ulimwengu
Jeshi la Iran: Hakuna dalili ya shambulio kwenye kifo cha Raisi
Uchunguzi wa awali kuhusu ajali ya helikopta iliyokuwa imembeba rais wa zamani Ebrahim Raisi, na waziri wake wa mambo ya nje Hossein Amir Abdollahian, na viongozi wengine wakuu haujaonyesha athari zozote za risasi au uharibifu kwenye mabaki ya ndege.
Maarufu
Makala maarufu