Ulimwengu
Kissinger: Kwa nini mwanadiplomasia wa Marekani alikuwa na sifa mbaya barani Afrika?
Muda mrefu wa Henry Kissinger kama mwanadiplomasia wa Marekani mwenye ushawishi mkubwa zaidi wakati wa Vita Baridi unaweza kufafanuliwa vizuri na jinsi alivyokuwa akihesabu kutumia Afrika kama njia ya Marekani kwa njia ya haki na mchafu.
Maarufu
Makala maarufu