- Ukurasa wa nyumbani
- Maoni
Haki Ya Wapalestina Gaza
Matokeo ya 2 yanayohusiana na Haki Ya Wapalestina Gaza yanaonyeshwa
Ulimwengu
Wanajeshi kumi zaidi wauawa katika uvamizi wa Gaza: Jeshi la Israel
Vita vya sasa vya Israel dhidi ya Gaza iliyozingirwa - sasa katika siku yake ya 68 - vimesababisha Wapalestina wasiopungua 18,412 kuuawa na kujeruhi wengine zaidi ya 50,100 huku maelfu wakihofiwa kuuawa chini ya vifusi vya majengo yaliyolipuliwa.Ulimwengu
Yanayojiri: Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa atumia Kifungu cha 99 kuhusu vita vya Gaza
Mkuu wa UN Antonio Guterres atumia Kifungu cha 99 kuhusu vita vya Gaza Kifungu cha 99 katika Mkataba wa Umoja wa Mataifa kinampa mamlaka ya kuitisha mkutano wa Baraza la Usalama kwa mada yoyote anayoiona kama tishio kwa amani na usalama wa kimataifa.
Maarufu
Makala maarufu