Türkiye
Mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza ni uhalifu dhidi ya ubinadamu: Rais Erdogan
Wale wanaofanya uhalifu kama huo lazima wahukumiwe chini ya sheria za kimataifa," Rais wa Uturuki Erdogan anasema katika hotuba yake katika mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya tabia nchi 2023 huko Dubai, Falme za Kiarabu.
Maarufu
Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza
Huku kukiwa na operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kung'oa makundi ya waasi, kijana mmoja anatoa suluhu la kipekee ili kupunguza msongo wa mawazo na kukabiliana na uhalifu mijini
Makala maarufu