| Swahili
UTURUKI
1 dk kusoma
Shirika la Ndege la Uturuki kurejesha safari zake za Damascus, Beirut, Amman kuanzia Mei Mosi
Safari za ndege kuelekea Mashariki ya Kati zilisitishwa kuanzia Februari 28 kutokana na hofu ya usalama wa anga.
Shirika la Ndege la Uturuki kurejesha safari zake za Damascus, Beirut, Amman kuanzia Mei Mosi
Kupitia taarifa iliyowekwa kwenye tovuti yake, Turkish Airlines ilisema kuwa safari hizo zitarejea, ifikapo Mei 1./Picha:@TurkishAirlines