Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amempokea na kuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu wa Sudan Kamil Idris, ambaye yupo kwenye ziara ya kikazi nchini Uturuki.
ZILIZOPENDEKEZWA
Kikao hicho kilihudhuriwa na Makamu wa Rais wa Uturuki Cevdet Yilmaz, Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Hakan Fidan, Waziri wa Nishati na Mali Asili Alparslan Bayraktar, Waziri wa Kilimo na Misitu Ibrahim Yumakli, na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Uturuki Burhanettin Duran.
CHANZO:AA




















