Türkiye
Muundo wa usalama Ulaya haufanyi kazi katika kiwango kinachotakiwa: Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki
Mchango wa Uturuki ambayo iko mstari wa mbele kama mmoja wa washirika wakuu na wa kimkakati wa Jumuiya ya kujihami ya mataifa ya magharibi (NATO), katika usalama wa nchi za Magharibi, ni muhimu, anasema Waziri wa Mambo ya Nje Mevlut Cavusoglu.
Maarufu
Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza
Huku kukiwa na operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kung'oa makundi ya waasi, kijana mmoja anatoa suluhu la kipekee ili kupunguza msongo wa mawazo na kukabiliana na uhalifu mijini
Makala maarufu