Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amekutana na ujumbe maalumu wa Baraza la Maaskofu Katoliki katika Ikulu ya Ankara.
Hata hivyo, bado haijawekwa wazi ni kipi kilichojadiliwa wakati wa mkutano huo.
Kati ya waliohudhuria, ni pamoja na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Uturuki, Burhanettin Duran, Katibu Mkuu Kiongozi Hasan Dogan, na mshauri wa masuala ya kiusalama Akif Cagatay Kilic.
ZILIZOPENDEKEZWA
CHANZO:AA


















