| Swahili
MICHEZO
1 dk kusoma
Gwiji wa soka wa Italia Franco Baresi afariki dunia
Baresi alikuwa sehemu ya kikosi cha Italia, kilichopoteza mchezo wa fainali ya Kombe la Dunia kwa Brazil, mwaka 1994.
Gwiji wa soka wa Italia Franco Baresi afariki dunia
Kulingana na klabu ya AC Milan, Baresi amefariki dunia Julai 31, 2026 baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Mlinzi wa zamani wa timu ya taifa ya Italia na klabu ya AC Milan, Franco Baresi amefariki dunia.

Kulingana na klabu ya AC Milan, Baresi amefariki dunia Julai 31, 2026 baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Baresi amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 66, kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na vigogo hao wa soka wa Italia.

Baresi aliitumikia AC Milan kwa miaka 20 kabla ya kustaafu mwaka 1997, akiwa ameshinda mataji sita ya Serie A na matatu ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Amekuwa nahodha wa timu ya taifa ya Italia kwa misimu 15, akiichezea michezo 719 na kufunga magoli 33.

Baresi alikuwa sehemu ya kikosi cha Italia, kilichopteza mchezo wa fainali ya Kombe la Dunia kwa Brazil, mwaka 1994.

 

CHANZO:TRT Afrika Swahili