|
Swahili
|
Swahili
SIASA
UTURUKI
JARIDA
MAONI
MICHEZO
AFRIKA
Brian Okoth
Senior Editor
Senior Editor
Makala za Mwandishi
Mkuu wa Ujasusi wa Ecuador, mkewe miongoni mwa watu saba waliofariki katika ajali ya helikopta Kenya
Mkuu wa ujasusi wa Ecuador Michele Sensi-Contugi na mkewe, Stephany Hollihan Vasconez, ni miongoni mwa watu saba waliofariki katika ajali ya helikopta nchini Kenya siku ya Jumatano, serikali ya Ecuador ilitangaza.
2 dk kusoma
Madada wawili wa Malawi kuendelea kuibeba timu fainali za WAFCON dhidi ya Cameroon
Timu ya taifa ya wanawake ya Malawi imefanikisha kile wengi wataona kuwa jambo ambalo halikuwa linawezekana.
2 dk kusoma
Mtanzania anunua shirika kubwa la habari Afrika Mashariki kutoka kwa Aga Khan
Mfanyabiashara wa Tanzania Rostam Aziz amenunua shirika kubwa zaidi la habari Afrika Mashariki, Nation Media Group (NMG), kutoka kwa familia ya Aga Khan, kampuni hiyo iliripoti siku ya Jumanne.
3 dk kusoma
IShowSpeed ni nani, nyota wa mtandaoni aliyevuma Kenya?
IShowSpeed, anayejulikana pia kama Speed, ni nyota maarufu wa mitandao ya kijamii kutoka Marekani ambaye hivi karibuni amevutia hisia za maelfu ya vijana barani Afrika, hasa Kenya.
3 dk kusoma
Polisi akataa rushwa ya dola $50,000 katika uwanja wa ndege nchini Zambia
Tume ya Kupambana na Rushwa ya Zambia (ACC) imempongeza polisi wa kike aliyekataa rushwa ya dola $50,000 kutoka kwa mshukiwa wa utakatishaji fedha katika uwanja wa ndege mji mkuu wa Lusaka.
2 dk kusoma
Rais wa Tanzania amteua binti na mkwe wake katika Baraza la Mawaziri
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua binti yake, Wanu Hafidh Ameir, kuwa Naibu Waziri wa Elimu. Hafidh Ameir, mwenye umri wa miaka 43, ni Mbunge wa Jimbo la Makunduchi.
2 dk kusoma
Picha za marais 13 wa Afrika, Waziri Mkuu mmoja ambao wamevaa sare za jeshi karibuni
Viongozi wa Afrika wasiopungua 14 wamekuwa wakivaa sare za jeshi hadharani katika miaka ya hivi karibuni, magwanda ambayo hufanya watu kuwaangalia kwa makini.
4 dk kusoma
Majeshi 20 Bora barani Afrika mwaka 2025
Misri, Algeria na Nigeria zina majeshi yenye nguvu zaidi barani Afrika kufikia Juni 2025, kama inavyoonekana katika ripoti ya Global Firepower Index ya 2025.
5 dk kusoma
Mekatilili wa Menza: Mwanamke shupavu wa Kenya aliyeongoza mapambano dhidi ya Waingereza
Akiwa amezaliwa mwaka 1840 huko Kilifi, Mekatilili alijulikana kama Mnyazi wa Menza, mara tu baada ya kuzaliwa.
3 dk kusoma
Samory Toure: Mwamba aliyewahenyesha Wafaransa Afrika ya Magharibi
Samory Toure si jina geni katika mapambano dhidi ya utawala wa kikoloni barani Afrika.
3 dk kusoma