Eunice Reuben, ambaye alizaliwa bila miguu, anaishi maisha yake kama mtu mwingine yeyote wa kawaida.
Amepata nguvu na matumaini kupitia familia yake na mdogo wake Christine, ambaye ni ndiye miguu yake duniani.
Tazama anavyoishi

05:30

05:30
Tazama Video zaidi
Eunice: 'Mimi naweza chochote' | Story Yangu
Kuishi bila uwezo wa kutembea kwa zaidi ya miaka 30 na watu kukuita ‘Nusu Mtu’ si jambo rahisi.
Tazama Video zaidi