Akizungumza enzi za uhai wake katika harusi moja jijini Dar es Salaam, Tanzania, mwezi wa Juni 2025, Raila Odinga alisimulia jinsi alivyowahi kusafiri kwa kutumia hati ya kusafiria ya iliyokuwa Tanganyika wakati huo (hivi sasa Tanzania), kuelekea Ulaya kwa ajili ya masomo.
Hii ni baada ya serikali ya kikoloni ya wakati huo nchini Kenya kukataa kumpa pasipoti

02:47

02:47
Tazama Video zaidi
Raila Odinga asimulia alivyotumia pasipoti ya Tanganyika kusafiria
Pasipoti ya muda ilitolewa kwa Raila na vijana wengine wawili, kabla ya Tanganyika kuungana na Zanzibar mwaka 1964 na kuzaliwa Tanzania.
Tazama Video zaidi