Takwimu zinaonyesha kuwa Afrika ilizalisha tani 450,000 za asali, ikiwa ni na takriban asilimia 20 ya uzalishaji wa kimataifa.
Nchi tano zinazoongoza kwa uzalishaji wa asali barani Afrika ni; Ethiopia, Tanzania, Kenya, Uganda na Rwanda.

02:49

02:49
Tazama Video zaidi
Afrika ndilo bara la pili katika uzalishaji wa asali duniani | Utajiri wa Afrika
Je, unafahamu kuwa Afrika ndilo bara la pili duniani kwa uzalishaji wa asali baada ya Asia?
Tazama Video zaidi