Ingawa uvunaji wa madini hayo haujaanza, lakini fursa za ajira na ukuaji wa miundombinu muhimu kama vile vituo vya afya umeanza kuonekana kwa wananchi ambao awali hawakupata huduma hizo.
Iwapo uchimbaji huo utafanyika, basi Tanzania itakuwa miongoni mwa mataifa yanayochimba Helium. Hata hivyo, wadau mbalimbali, wanaitaka Serikali ya Tanzania kuweka mkakati madhubuti wa kuhakikisha mradi huo, unakuwa na tija kwa wananchi.

03:13

03:13
Tazama Video zaidi
Tanzania yaingia katika orodha ya nchi zinazozalisha gesi ya Helium
Serikali ya Tanzania imegundua hifadhi kubwa ya gesi adimu ya Helium, inayotumika katika sekta mbalimbali ikiwemo huduma za afya, utafiti wa anga, na sekta ya ulinzi.
Tazama Video zaidi