Kijiji hicho cha siri, kilichojengwa na kutawaliwa kikamilifu na wanawake kwa zaidi ya miaka 30 sasa, wakazi wake ni wanawake ambao wamepitia masaibu mbalimbali katika maisha yao.

06:21

06:21
Tazama Video zaidi
Kijiji ambacho wanaume wote wamepigwa marufuku
Kaskazini mwa Kenya kuna kijiji ambacho wanaume wamepigwa marufuku kabisa kuingia au kuishi katika kijiji hicho, na mwanaume yeyote atakayethubutu kuingia basi atakabiliwa na adhabu kali kutoka kwa wanawake.
Tazama Video zaidi