| Swahili
Wicknell Chivayo alijengaje utajiri wake?
Afrika
Wicknell Chivayo alijengaje utajiri wake?
‘Amefeki’ kifo chake, baadhi wanaamini kwamba Wicknell Chivayo amefanya hivyo. Lakini kama kweli amefariki, kuna swali moja ambalo kifo chake hakijajibu: Chivayo alijengaje utajiri wake na kuanza kuitwa ‘Sir’ Wicknell?

Septemba 30, 2026, safari ya kifahari ikafikia mwisho, kwa ajali ya helikopta.

Wanaomfahamu kwa karibu wanasema kuwa alikuwa mnyenyekevu na aliyependa watu, lakini chanzo cha kila senti ya utajiri wake kitabaki kuwa fumbo ambalo jibu lake analo mwenyewe.

Tazama Video zaidi
Ni nini kimemtokea Emmanuel Nchimbi?
Kijiji ambacho wanaume wote wamepigwa marufuku
Tanzania yaingia katika orodha ya nchi zinazozalisha gesi ya Helium
Uganda: Biashara ya usafiri si ya watu binafsi
Afrika ndilo bara la pili katika uzalishaji wa asali duniani | Utajiri wa Afrika
Charles Kibe Mwangi na simulizi ya njiti ya ufagio
Je, unaijua nchi ya Iran?
Je, Ufaransa Ilifanya nini Cameroon? Ukweli wafichuka
Raila Odinga asimulia alivyotumia pasipoti ya Tanganyika kusafiria
Eunice: 'Mimi naweza chochote' | Story Yangu